UWAZI NA UMAANISHO: USIMBAJI MAANA KIMAZUNGUMZO KATIKA EKEGUSII NA KISWAHILI

PDF version

IKISIRI

Utafiti huu ulichunguza jinsi wazungumzaji hutumia

misimbo inayozua uwazi na umaanisho katika lugha za Kiswahili na Ekegusii kwa lengo la kubainisha kama kuna mlingano wowote kati ya lugha hizi, zote zikiwa lugha za Kibantu. Lugha hizo zimeelezwa kisemantiki ambapo maana msingi za kauli zimechanganuliwa, na baadayemaana za kipragmatiki kuelezwa kwa kutumia Nadharia ya Uhusiano. Nadharia ya Uhusiano ya Sperber na Wilson (1986) ilitumiwa kufasiri misimbo iliyotokana na kategoria mbalimbali za lugha hizi m

bili ambapo kanuni za uhusiano pamoja na kanuni ya ujuzi wa msikilizaji zilisaidia kupata fasiri iliyokusudiwa na wasemaji wa kauli mbalimbali.

Tasnifu hii ina sura nne. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia utangulizi kwa jumla. Tumeeleza kuhusu lugha za Kiswahili na Ekegusii, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka misingi ya nadharia, yaliyoandikwa kuhusu mada yetupamoja na mbinu za utafiti tulizotumia. Katika sura ya pili, tumejadili kuhusu kategoria za kisemantiki kwa jumla ambapo tumebainisha makundi mawili makuu ya kisemantiki ambayo ni pamoja na kategoria za kileksika na kategoria za kimuktadha.

 

http://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/60540

Message from the Dean

Het spelen van leuke spelletjes online is geweldig. Met de komst van online blackjack is dit alleen maar beter geworden.

Prof. Peter Wasamba

Dean, Faculty of Arts

Read message from the Dean

Community Outreach

Contacts

P.O BOX 19134-40123

KISUMU

Email: foa_ksmcampus@uonbi.ac.ke

Mobile:+254-719 587 997

Second Floor-East Wing

Media Center

UoN Website | UoN Repository | ICTC Website


Copyright © 2018. ICT WebTeam, University of Nairobi